Friday, February 2, 2018

DR. NELSON

DR..PAUL NELSON 

ni mwanaume wa kwanza hapa Tanzania kujitokeza na kuanzisha ofisi ya ushauri katika mahusiano ya kifamilia na mapenzi kwa ujumla.Toka 2006 amekuwa akiendesha vipindi katika redio PASSION FM, RADIO FREE AFRICA,KISS FM NA METRO FM na mara kadha amealikwa katika vipindi vya STAR TV.  Kama mkurugenzi wa HEALTHY LOVE CLINIC LTD ameweza kuendesha semina na kutoa ushauri kwa watu mbalili ndani na nchi za nje.



Katika blogu hii anakupa sehemu ndogo ya huduma yake iliokomaa baada ya miaka 12 ya uzoefu wa kutosha. UNAWEZA kupata ushauri juu mahusiano yako ya kimapenzi,ya kifamilia na watoto au wazazi wako,wewe na boss wako na pia unaweza kupata ushauri juu ya njia sahihi za kuacha punyeto, pombe au sigara na mengi mengine.WASILIA NAE namba 0754 039994 na barua pepe    kimapenzi@yahoo.com.DR.PAULNELSON anapatikana  kati kati ya jiji la MWANZA, JENGO LA NYANZA room16 barabara ya Kenyatta

1 comment:

  1. How is it possible to increase the size of the penis while God created it as its?

    ReplyDelete