Thursday, February 1, 2018

post one

SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME.
Wanaume wengi wangetamani kuwa kutabirika kwa upumuaji wa hewa kungekuwa sawa na kuwa na nguvu za kiume za kutosha, yaani muda wowote ule uwe na uwezo wa kuwa na nguvu za kiume za kutosha kumfurahisha mwanamke yoyote yule.  Kutokana na kutokutabirika kwa nguvu za kiume wanaume wengi wanaishi na huzuni na maumivu mengi jambo ambalo wanawake hawalijui uzitom wake.  Sambamba na tatizo hilo kama vile kwenye mzoga wa ng’ombe lazima kunguru watajazana, waganga wengi wanapiga kelele kuwa wanao uwezo wa kuponya kabisa tatizo hilo wakati hawajui kabisa bailojia ya tatizo hilo.  Baba mmoja alienisikia redioni mke wake alikuwa mganga wa kienyeji na alikuwa anashangaa kuona vijana wengi wanaenda kwa mke wake kutafuta tiba ya nguvu za kiume.  Baba huyo yeye mwenyewe alikuwa anasumbuliwa na tatizo hilo kwa muda mrefu na mke wake alishindwa kumtibu.  Kwa bahati nzuri mtu ambae alinisikiliza redion na kuja kupata tiba iliomuondolea aibu hiyo alimpa habari yangu na akashawishika kunisikiliza yeye mwenyewe. Alidhamiria kuliondoa na tatizo na alinisikiliza RADIO FREE AFRICA na aliposikia maelezo yangu redioni akajua tiba ninayozungumzia ni ya kweli na kufunga safari kunifuata,ilipita wiki 2 alinipigia simu na niliongea nae  yeye na mke wake na wote walinishukuru.  Ili usiendelee kudanganywa leo nataka ujifunze sayansi ya nguvu zako za kiume.
Unakuwa na tatizo la nguvu za kiume pale ambapo unashindwa kusimamisha uume kwa muda mrefu, au kuwa na uume unaosimama kiulegelege (wanawake wengi wanaita uume tepete).  Uume ni kiungo pekee katika mwili wa mwanaume ambacho kina uwezo wa kujaa damu kwa kasi kubwa na damu hiyo ikakaa kwa muda fulani na baadae kutoka yenyewe.  Kwa uume kusimama nyakati za asubuhi ni jambo la kawaida kwa mwanaume na uonapo hali hiyo imepotea tambua kuwa umeingia katika tatizo la nguvu za kiume na iwapo uume wako unasimama nyakati za asubuhi lakini mara nyingi unapokuwa unataka kushiriki tendo la ndoa unahangaika kufanya uume usimame, basi tatizo lako sio la nguvu za kiume ni la kisaikolojia.  Ninaposema la kisaikolojia namaanisha kuwa pale unapokuwa na mwanamke na ukawa na wasiwasi wa aina yoyote ile, nguvu zako badala ya kwenda kwenye uume zinakimbilia miguuni.  Zinakimbilia miguuni kwa kuwa ubongo wetu umeumbwa kutafsiri wasiwasi wowote ule kama hatari bila kujali ni wasiwasi wa kuogopa kitu kikubwa kama kugongwa na gari au kuogopa kuaibika.  Uume unapoanza kupata uvivu wa kusimama asubuhi ni dalili kuwa tatizo limeingia katika mwili wako na kwa kadri unavyoliachia ndivyolinavyoendelea kuwa tatizo kubwa zaidi.
Watu wengi wameliwa fedha zao na wajanja wanaojiita wataalamu wa tiba bandia kwa kuambiwa wanahitaji wachukuliwe vipimo kabla ya kupewa tiba ya upungufu wa nguvu za kime.  Watatoa pesa ya vipimo na pesa ya tiba bandia pia bila mafanikio yoyote ile.  Katika Clinic yangu ya afya ya Mapenzi katika miako hii 11 nimekutana na wengi waliotapeliwa kwa mtindo huo na watu wenye sura maarufu sana. Ukweli ni kwamba huhitaji vipimo iwapo una tatizo la nguvu za kiume au tatizo la kuwahi kumaliza.  Kusimama kwa uume inatokea hivi, ujumbe toka kwenye ubongo unaagiza eneo la uume liitwalo CORPORA CAVERNOSA kulegea na damu kujaza eneo hilo lenye vyumba vidogo vidogo vyenye uwezo wa kuvimba vinapojaa damu na kusinyaa damu hiyo inapotoka.  Kuvimba kwa kwa sehemu hizo ndiko kunakofanya uume usimame na mwanaume akasema amepata nguvu za kiume. Kwenye kila kijimfuko cha eneo hilo kuna utando wa nyama unaofanya kazi ya kuzuia damu isitoke na hivyo uume kusimama kwa muda mrefu, utando huo unaitwa TUNICA ALBUGINEA.
Utafiti uliofanyika kwa muda mrefu unaonyesha kuwa iwapo mtu ataweza kufanya mazoezi maaumu ya misuli inayohusika na nguvu uume ataweza kuongezea umakini wa mishipa ya fahamu na mzunguuko wa damu.Wewe mwenyewe ni shahidi kuwa watu wanaofanya mazoezi ya viungo wanakuwa na misuli yenye kuwawezesha kuinua vyuma vizito sana. Dawa ninayoitoa mimi ya PRIKA inaambatana na mazoezi maalumu ambayo mwanaume atafanya akiwa amekaa kwenye kiti au kitanda au sehemu yoyote nzuri baada ya zoezi hilo unalamba dawa hiyo ilio katika mfumo wa unga na dawa hiyo itaenda na kushughulikia maeneo ya mishipa fahamu,mishipa ya damu na misuli inayohusika na tatizo la nguvu uume na kuwahi kumaliza.









Tafadhali angalia vizuri mchoro huo hapo. Unaziona sehemu tofauti za uume wako na mfumo wake. Msuli namba 1  ndio unaohusika na tatizo la kuwahi kumaliza iwapo mzunguuko wa damu sio mzuri.Sehemu iliojikunja ikijaa damu vizuri inavimba na kubana msuli wa juu namba 2  na kukufanya uchelewe kumaliza. Msuli namba 2 unahusika na nguvu za uume wako .NINAPOSEMA nguvu za kiume namaanisha uwezo wa kusimamisha uume kwa muda mrefu na pia kufanya iwe rahisi kwa uume kuinuka na urudie tendo mara nyingine na nyingine. Msuli huo namba mbili kwa kuwa umezungukwa na miship mingi ya fahamu vile vile unahusika na hamu ya tendo la ndoa, kwahiyo pale mwanaumanapotaka kurudia roundi nyingine msuli huo ndio unaohusika. Vile vile msuli huo ndio unaohusika na raha anayoipata mwanaume pale anapomaliza (KUPIZ).
C:\Users\User\Desktop\DSC_5750.JPG

Ninao ushahidi wa watu wengi toka 2006 na ushahidi wa hivi karibuni ni wa kaka ambae baada ya kutumia dawa hiyo na kujiona ni bingwa wa tendo la ndoa alijisahau na kupuuzia kutumia kinga na akaambukizwa ugonjwa wa zinaa. Kaka huyo alinipigia simu kuniambia kuwa katika jarida la maelekezo ya dawa yangu ya PRIKA niweke maelezo ya tahadhari kuwa ni muhimu mtu anapopona awe mwangalifu kupima afya ya mtu anaeshirikiana na e katika tendo la ndoa.BEI YA PRIKA NI SH 25000  kwa ofisini kwangu MWANZA na nje ya MWANZA SH 30,000 tu TUWASILIANE  kwa namba 0754 039994 au kwa barua pepe kimapenzi@yahoo.com.

Ninao ushahidi wa watu wengi toka 2006 na ushahidi wa hivi karibuni ni wa kaka ambae baada ya kutumia dawa hiyo na kujiona ni bingwa wa tendo la ndoa alijisahau na kupuuzia kutumia kinga na akaambukizwa ugonjwa wa zinaa.Kaka huyo alinipigia simu kuniambia kuwa katika jarida la maelekezo ya dawa yangu ya PRIKA niweke maelezo ya tahadhari kuwa ni muhimu mtu anapopona awe mwangalifu kupima afya ya mtu anaeshirikiana na e katika tendo la ndoa. TUWASILIANE  kwa namba 0754 039994 au kwa barua pepe kimapenzi@yahoo.com.

No comments:

Post a Comment