Tuesday, February 6, 2018

UUME UNAOTOSHELEZA


UUME UNAOTOSHELEZA

Utafiti mpya uliofanyika miongoni mwa wanaume 15,521 unaonyesha kuwa wanaume asilimia 12% ndio  wenye uume wa ukweli. Kiongozi wa utafiti  huo Dr. David Veale wa  King’s College huko Uingereza anasema wanaume wengi hujilinganisha wao kwa wao na wengi hujikuta kuwa na mapungufu. Matokeo ya utafiti huo yaliochapishwa kwenye jarida la kisayansi liitwalo BRITISH JOURNAL OF UROLOGY INTERNATIONAL linashuhudia kuwa wanaume wengi uume wao unapokuwa umelala unakuwa na urefu wa nchi 3.61 (sm 9.16) na unapokuwa umesimama ni nchi 5.16 (cm 13.12).

Katika utafiti huo ilionekana wazi kuwa wanawake wana uwezo mkubwa sana wa kukumbuka urefu  na unene wa uume wa mwanaume jambo ambalo ni tishio kwa wanaume. Mbaya zaidi utafiti huo ulionekana kuwa mwanamke anapochepuka hutarajia kukutana na mwanaume mwenye uume mkubwa kuliko  wa mumewe wa ndoa.

Hapo naiona hatari kuwa mke wako  anapochepuka akitarajia kukutana na uume mkubwa kuliko wako  na kwa bahati mbaya akakuta uume ulio na udogo sawa na wa kwako basi huenda  idadi ya michepuko itaongezeka kutafuta uume wa ukweli. Kutokana na tafiti hiyo wanawake hupendelea uume wenye urefu kati ya nchi 6.5 (cm 16.8) na  nchi 7.5 (cm 18).Wanaume  wemye uume wa ukweli wanapata urahisi kutumia mikao mbalimbali wakati wa tendo la ndoa na pia wanawake wanene sio tishio kwao.

Mwanaume, najua hili ni jambo muhimu sana na kwa kuwa wewe huna uke huwezi kutambua mwanamke anajisikiaje pale anapoingiliwa na uume ambao  kutokana na ufupi au wembamba wake hauwezi kugusa maeneo muhimu yenye miisho mingi ya mishipa ya fahamu katika uke wake.

Ni muhimu ukumbuke kuwa lazima tofauti itaonekana utakapolinganishwa na wanaume  wengine waliokutangulia. Kwa muda  wa miaka 12  sasa nimeweza kusaidia wanaume wengi kupata ongezeko  la uume wao  bila ya madhara yoyote.

Ndugu yangu linalonipa ujasiri kusema hayo ni ushahidi wa watu ambao  nawafahamu hapa hapa Jijini  Mwanza toka Wamachinga, Madaktari, Polisi mpaka Majaji . Ofisini kwangu wamekuja watu wenye vyeo vikubwa na wengine huogopa kuingia kwangu na badala yake nakwenda kuongea nao ndani ya magari yao. Ni vyema uzinduke na kukabiliana na ukweli kuwa una uume usioweza kumtosheleza  mwanamke.

Dawa ya RODVA ni dawa yenye mchanganyiko wa virutubisho toka mimea mbalimbali na iko kama mafuta. Dawa hii haina madhara na hufanya kazi polepole sawa sawa na kasi ya mwili kukua katika hali yake ya asili. Dawa  hii ina uwezo  wa kukuongezea ongezeko  la kudumu la urefu wan chi 3 na unene wa nchi 1 na sio zaidi ya hapo, yaani unaamua wewe mwenyewe kiasi unachotaka kuongezea toka pale ulipo lakini usitegemee ongezeko zaidi ya  hilo nililotaja hap[o juu.KWA mfano, kama uume wako una urefu wa  nch 4, unaweza kuamua kuongeza nch 1 ukawa na uume wenye urefu wa nch 5,ukiongeza nch 2 utakuwa na uume wa nch 6 na ukiongeza nch 3 utakuwa na uume  wenye urefu wa nch 7 ambaco ndicho kiwango kinachokubalika.
  KWA ulimwengu mzima nchi inayoongoza kuwa na wanaume wenye uume wa ukweli ni nchi ya Kongo, na kwa bara la ulaya nchi inayoongoza ni Ufaransa ikifuatiwa na SWEEDEN.

DAWA YA RODVA imefanyiwa utafiti wa miaka  14  na kuthibitishwa kuwa haina madahra  na matokea ya   utafiti huo yalichapishwa katika jarida la wanasayansi ya mwili wa mwanadamu liitwalo BRITISH JOURNAL OF MEDICINE.Rodva  hufanya kazi polepole na  ongezeko la awali unaliona wiki ya tatu toka uanze kutumia dawa hiyo. Dawa  hiyo unaitumia mara moja kwa siku  hadi upate ongezeko  unalohitaji. Kumbuka ongezeko haliwezi kuzidi urefu nchi 3 na unene nchi 1 wewe mwenyewe utachagua uongeze kiasi gani lakini sio zaidi ya hicho.






Bei ya dawa hiyo ni Tshs. 45,000/= na kwa walio nje ya Mwanza utaongezea Tshs. 5,000/= kama gharama ya kukutumia huko uliko kwa njia ya mabasi. Hadi kufikia leo dawa hiyo imewasaidia wengi na tayari nimewatumia watu wa matai fa ya Kenya, Uganda, Burundi, Uturuki, Ureno, Sweeden, Dubai, Australia na Marekani.
  UNAWEZA kulipia kwa m pesa kwa  namba  5410574 au moja kwa moja  kwa namba 0754 039994



JE UNA UUME WA UKWELI?
MAONI YA WANAWAKE JUU YA KIBAMIA CHAKO

Penda usipende uume wako unapimwa na mwanamke ulie nae. Ukitaka kujua wanawake watatoa sifa gani ya uume wako waulize wapenzi wawili ulioachana nao. Mara ngapi ukiuliza wanawake hao usishangae kupata jibu ambalo hukutegemea kabisa kusikia. Unaweza kusikia maneno kama haya “ uume wako ni mdogo lakini unene wake ni mzuri” “ kwa kweli nilikuwa nakuvumilia lakini baadae uvumilivu ulinishinda maana udogo wa uume wako mara nyingine uliniletea kinyaa”.

Hebu sikiliza stori hizi toka kwa wanawake.

“ mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 24 boyfriend wa rafiki yangu aliniunganisha na rafiki yake ambaye alikuwa na mvuto mkubwa kwangu. Nilimpenda sana Mark lakini nilikuwa nashangaa kwanini hanipeleki nyumbani kwake nilale nae au kuomba aje alale kwangu.

Baada ya kuvumilia kwa muda Fulani mimi mwenyewe nilimualika kwangu na mara mbili alikubali lakini na hapo pia niliona haonyeshi  dalili za kutaka tendo la ndoa na tulichezeana tu bila ya yeye kuvua chupi yake. Siku ya tatu yta yeye kuja kwangu wo te tulikuwa tumekunywa pombe na kulewa na nikaweza kumvua chupi yake na kuona kumbe alikuwa na uume mdogo na mwembamba. Pia nilimuonea huruma lakini sikutaka kuwa nae kama mpenzi wangu.

“Kaka mmoja alikuwa ananisumbua sana na sikumpenda kwa kuwa alikuwa na kitambi kikubwa siku moja nilimuonea huruma na nikaamua kufanya nae mapenzi Lo, ajabu alipovua nguo nikasema “ ha, hivi ana uume mdogo namna hiyo, ulikuwa kama nchi 4 uliposimama. Moyoni nilisema sitarudia tena kufanya nae mapenzi nilifanya nae mapenzi na nikagundua kuwa mimi nikiwa juu na yeye akiwa chini uume wake huongezeka urefu kidogo kwa kuwa mafuta ya kitambi hudidimia na kusukuma shina la uume mbele.

Kidogo   nilifurahia tendo la ndoa lakini sikutaka kuendelea nae kwani hatuwezi kuwa tunafanya tendo la ndoa kwa mtindo wa mkao mmoja tu inaboa”

“Kuna jamaa mmoja shalobalo nilikuwa nimetokea kumtamani sana na alikuwa msanii maarufu nchini. Siku moja akiwa amenipa lift ya usafiri akaniomba nimnyonye uume wake nikakubali Eh, nikakuta uume wake ukisimama ni sawa na betri ya tochi kwa urefu. Sikuonyesha mshangao wangu nikaanza kumnyonya yaani chini ya dakika moja alimwaga mbegu na kwa bahati mbaya nilikuwa sijakaa vizuri na ukichangia ufupi wa uume wake ile ingiza toa ya mdomo wangu uume wake ulitoka nje na mbegu zikanimwagikia usoni. Hiyo ilikuwa mara ya mwisho kuona uume wake mfupi”

“Hivi karibuni nimeanzisha mahusinao na kaka mmoja mwenye umri wa miaka 30 niliona kuwa yeye anafaa kuwa mume wangu mpaka pale tulipotaka kufanya mapenzi. Ilikuwa ni birthday ya rafiki yake ma hivyo baada ya sherehe za birthday hiyo tulienda club kucheza muziki. Mambo yalienda vizuri mpaka pale tulipokuwa kitandani na kuvua nguo, alikuwa na uume mdogo sana. Nilikuwa nimeanza kumpenda lakini tokea hapo hisia zangu zilianza kukauka kwani niliona haitakuwa rahisi kuendelea kukaa na mwanaume mwenye upungufu katika eneo muhimu kama hilo.

Jambo hili limeniathiri kisaikolojia na kwa kuwa kaka huyo alikuwa na gari kubw ala kifahari na sasa naona kuwa huenda wanaume wote wenye magari makubwa pia wana uume mdogo”.

Kitu nilichogundua ni kwamba ukiwa na uume mdogo na mwanamke ameshindwa kukuacha kwa sababu ya aibu ya talaka au anafaidi fedha zako lazima uume wako ataupa jina maalumu kama vile “NOKIA YA TOCHI” “KIDOLE GUMBA” Katika utafiti mmoja dada mmoja alisema hivi “ nilipokuwa nanyonya uume wake uliosimama ilikuwa kama nanyonya kidole gumba changu” Hebu sasa sikiliza maoni ya watafiti juu ya ukubwa wa uume wako.


UKWELI JUU YA UKUBWA WA UUME

Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au la.

(1)             Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume mkubwa basi wewe ni wa ajabu.

(2)             Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa.

(3)             Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12) na nchi 51/2 (CM 131/2).

(4)             Unapofikiria kuwa uume wako ni mdogo mara nyingi unakuwa hujakosea.

(5)             Wanawake wengi hujali kuhusu ukubwa wa uume unapokuwa haujasimama.

(6)             Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kushika uume wa mwanaume unapokuwa umesimama na pia pale ambapo haujasimama.

(7)             Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kunyonya uume ulio mkubwa kuliko ule ulio mdogo

(8)             Uume mkubwa huleta burudani zaidi kwa mwanamke zaidi ya uume mdogo kwani unagusa maeneo mengi zaidi yenye miisho mingi ya mishipa ya fahamu na unaweza kuondoa hewa yote iliomo ukeni na kutengeneza mazingira mazuri ya raha zaidi.

(9)             Asilimia ishirini ya wanawake wote watadumu na kuwa waaminifu kwa wapenzi wao wenye uume mkubwa sababu kubwa ni raha wanayopata na sio fedha au kitu kingine.

(10)        Asilimia 40 ya wanawake watadumu na mpenzi mwenye uume mdogo kwa sababu ya pesa anazofaidi.

(11)        Asilimia 80 ya wanawake wangependelea wapenzi wao waongeze ukubwa wa uume wao.

(12)        Wanawake wengi wanaona kuwa ni kero kuwa na mwanaume mwenye uume mdogo japo hawasemi na kukaa kimya kama vile hakuna shida yoyote. Na sio hilo tu bali pia inawaboa sana kufikiria juu ya mapungufu hayo.

(13)        Ukikutana na mwanamke anayesema kuwa hajali juu ya ukubwa wa uume ni muongo.

(14)        Wanawake wengi hutamani kulala na mwanaume mwenye uume mkubwa zaidi ya ule wa mpenzi wake japo kwa siku moja tu katika historia ya maisha yake.

(15)        Wanawake wengi hujitapa kwa wanawake wenzao iwapo wana mwanaume mwenye uume mkubwa wa kutosha.

(16)        Wanawake wanaweza kumvumilia zaidi mwanaume mwenye uume mkubwa kupita kiasi kuliko kumvumilia mwenye uume mdogo.

(17)        Wanaume wenye uume mdogo huachwa na wanawake kwa urahisi zaidi kuliko wale wenye uume mkubwa. Na wanaoachwa kwa sababu ya uume mdogo ni wengi zaidi ukilinganisha na wale wenye uume mkubwa.

(18)        Kutokana na ukweli huo upo uwezekano mkubwa kuwa mwanamke anapokuacha au kukusaliti basi mwanaume mpya ni mwenye uume mkubwa zaidi yako.


SIKILIZA YALIYOWAKUTA WENGINE
NATAKA KUACHANA NA MPENZI WANGU

Ukweli ni kwamba mpenzi wangu wa miaka miwili ni mpole na ananijali sana na hajawahi kunisaliti. Tatizo linalonisumbua akili ni kwamba ana uume mdogo, unajua maisha tunaishi mara moja tu na naamini ninastahili kupata raha ya kutosha na naona kuwa na mpenzi mwenye uume mdogo kunanikosesha raha wakati tufanyapo mapenzi. Jana baada ya kufanya mapenzi nilishindwa kuvumilia na nikamwambia ukweli toka moyoni mwangu. Alianza kulia na kuniomba radhi na kusema kuwa atatafuta dawa.

NILIACHWA NA MAUMIVU MAKUBWA

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 na sijaoa sababu ambayo imenifanya nisioe ni uume mdogo wenye urefu wa nchi 4 (CM10) katika historia ya maisha yangu nimeachana na wanawake 6 na huyo wa sita ndio aliyenifumbua macho.

Dada huyo nilihangaika kumpata kwa muda zaidi ya mwaka mmoja na nilipompata nilifurahi sana lakini baada ya mwezi mmoja tu aliniacha na kwa hasira alisema, “unaponiingilia sisikii lolote la maana kwasababu ya udogo wa uume wako”. Nilikuwa sijafanya naye mapenzi mara nyingi na hivyo aliniambia kuwa mara zote ambazo alisema kuwa alikuwa anafurahia tendo la ndoa alikuwa ananidanganya tu. Kwa kweli niliumia sana kwani sijawahi kukataliwa kwa mtindo huo.

HABARI ZANGU ZIMEANIKWA
Sipendi kutoa maelelzo mengi lakini nina hakika kuwa mchumba wangu kaniacha kwasababu ya uume mfupi. Uchumba wetu ulikuwa unakaribia miaka miwili na aliniambia japokuwa ameona sifa nyingi nzuri kwangu lakini amekuwa akikosa raha anapofikiria jinsi anavyokosa raha wakati wa tendo la ndoa au anapofikiri kushirikiana nami tendo la ndoa. Alisema kwamba mpenzi wake wa kwanza alikuwa na uume mkubwa na kwa kuwa alikuwa wa kwanza alikuwa hana cha kulinganisha na kuamini kuwa wanaume wote wako sawa. Niliumia sana kwani siku zote niliamini kuwa ukubwa wa uume sio kitu cha muhimu sana lakini sasa naamini hali  tofauti kabisa kwani mchumba wangu aliwaambia marafiki zake na hao marafiki zake wamekuwa wakinitania na kunibeza. Doctor, jambo hili linaniumiza sana moyo wangu.
Jambo lingine la kuangalia ni kwamba wanaume wengi hata wakiwa na urefu mzuri basi utakuta uume wao ni mwembamba. Hali hii haipendezi kwa wanawake kwani inashindwa kujaza uke kikamilifu na wanawake huhisi hivyo kwa urahisi sana. Uume unaojaza sawasawa uke huleta hali ya utoshelevu akilini mwa mwanamke. Hali hii ya kisaikolojia inawaathiri sana wanawake na hasa pale mwanamke anapokulinganisha na mwanaume mwingine. Kama vile mwanaume anavyopata msisimko kwa kuona mwanamke alie uchi hasa akiwa na matiti makubwa na makalio makubwa na hipsi zake ndivyo ilivyo kwa wanawake kuona uume mrefu na mnene. Mwanamke aonapo uume mkubwa tayari akilini mwake anakuwa na matarajio makubwa ya kufurahia tendo la ndoa. Wanaume wengi wangependa waweze kuongeza ukubwa wa uume wao lakini hawajui wafanye nini.
Na wengi wametapeliwa bila mafanikio yoyote yale, wengine wamenunua mapump yaliyowadhuru badala ya kuwasaidia. Kwa muda wa miaka tisa sasa nimeweza kuwasaidia wanaume wengi kupata ongezeko lililowaletea hali ya kujiamini na kuepuka kudharauliwa. Mwanaume mmoja wa Dar- es - Salaam baada ya kufanikiwa alinipigia simu na kunisimulia kisa kilichomfanya atafute na kutumia mafuta ya RODVA kuongezea ukubwa wa uume wake.

“Doctor siku moja mke wangu aliniambia `kati ya wanaume wa kuogopwa wewe haumo kabisa, uume wako sio wa mwanaume halisi`, Ulipita muda na ikatokea kama bahati nilikusikia redioni na ukanithibitishia kuwa RODVA haina madhara kabisa. Nilinunua dawa yako kwa wakala wako alioko Msimbazi. Mke wangu alienda semina ya kikazi kwa miezi mitatu na aliporudi alikutana na mtihani mkubwa kwani alikuta uume umekuwa na una nguvu na uimara mkubwa ambao alikuwa hajakutana nao hadi akasema sasa ndo unaniadhibu au nini?.` Doctor kwa kweli nakushukuru kwani nilipochukua hiyo dawa sikuamini sana kama ingeweza kuniletea heshima mpya.

Kaka huyu ni mmoja kati ya wengi waliofaidika na dawa ya RODVA na kwa kunufaika huko kumethibisha ukweli wa utafiti uliofanyika huko Scotland. Katika utafiti huo wanawake 325 walionekana kufika kileleni kwa urahisi iwapo mwanaume atakuwa na uume wenye kuzidi nchi 5.8 (CM 14.5).

Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wenye uume mkubwa, yaani nchi 8 hadi 10 ni asilimia mbili tu. Kisababisho cha uume mkubwa au mdogo ni kichocheo kiitwacho TESTOSTERONE. Mtu akiwa na wingi wa kichocheo hicho wakati anakua anawezeshwa kuwa na uume mkubwa na kichocheo cha TESTOSTERONE. Mafuta ya RODVA yamechanganywa na TESTOSTERONE iliyoongezewa nguvu na kuitwa DIHYDROTESTESTORONE (DHT) RODVA haina madhara yeyote ila inahitaji uvumilivu kwani utaanza kuona ongezeko katika wiki ya tatu toka umeanza kutumia mafuta haya maalumu. 



MAHAWARA


MAHAWARA WANAOFANIKIWA KUNG’ANG’ANIWA

Katika kazi yangu ya kutoa ushauri nimeongea na watu wengi waliomo kwenye ndoa na pia wezi wa mapenzi. Inaumiza sana kugundua kuwa mpenzi uliyekuwa umemwamini sana kumbe alikuwa anakusaliti kwa muda mrefu na si ajabu wengine utakuta wamezaa na mahawara.

Kwa kuwa asilimia 97% ya wateja wangu ni wanaume tafiti yangu imenisaidia kuona vitu ambavyo kwa sehemu kubwa hupelekea mwanaume kung’ang’ania hawara kwa muda mrefu. Nimeorodhesha mambo ambayo wake au wapenzi wa kike (kwa wale ambao hawajaolewa) husindwa kufanya na mahawara hufanya kwa bidii na usahihi zaidi.

MAHAWARA WENGI HUONYESHA UPOLE
Hawara ni mtu ambaye anataka kupendwa na ampatapo mwanaume ambaye tayari ana mpenzi au mke anajijua kuwa ameingia kwenye mashindano na hakuna anaefurahi kushindwa. Hawara atakuwa mpole na ataonyesha upole huo kwa jinsi anavyoongea nae, halazimishi au kung’ang’ania jambo fulani. Atatumia sauti za kimahaba na macho yenye kuonyesha penzi analohitaji mwanaume. Kwa mwanaume ambaye kazini au katika mahangaiko ya kimaisha anapata changamoto nyingi anahitaji mtu mwenye sifa hizo na zaidi mwanamke asiyeleta madai ya hili na lile anakuwa faraja kwa nafsi iliochoka. Mwanamke anayemfanyia mwanaume mambo anapohitaji bila ya mwanaume kufumbua mdomo wake anaonyesha jinsi gani anajali uchovu wa mwanaume. Hali hii huwashinda wake wengi kwani wanaona wamezoeana hawaoni hatari wanayotengeneza kwa uzembe huo.

MAHAWARA HUANZISHA TENDO LA NDOA
Nimefanya utafiti miongoni mwa makahaba na kuona kuwa makahaba wanajua udhaifu mkubwa wa wanaume kuliko watu wengi waliomo kwenye ndoa. Kahaba anajua kuwa wanaume wanapenda tendo la ndoa basi wapatapo mwanaume huuliza mwanaume anahitaji tendo la ndoa kwa mtindo gani?. Mahawara wanawazidi makahaba kwani wao huanzisha tendo la ndoa kwa mbinu mbalimbali na kwa maneno matamu humweleza mwanaume jinsi gani anavyomiss tendo la ndoa ,na pia huelezea kwa nini hufurahia tendo la ndoa. Hawara anapokuwa chumbani na mwanaume huwa hachelewi kuvua nguo au kuanza kumvua nguo mwanaume
Wanawake wengi wangependa tendo la ndoa litanguliwe na mazungumzo ya kawaida ndipo tendo la ndoa lifuate wakati wanaume wangependa kuanza tendo la ndoa na mazungumzo yafuate.Tofauti hizi humchanganya akili mwanaume na mwishowe anamwona mkewe kuwa ni wa daraja la chini kabisa na mtazamo huu ndio unaopelekea tendo la ndoa kufanyika mara chache kwa wiki.Kupungua kwa kasi hii kunamletea hawara sifa nyingi kwani hawara hakubali mwanaume aishie roundi moja tu jambo ambalo wake wengi huliona kuwa la kwaida kabisa.

Utaona vizuri uzito wa jambo hilo iwapo utafahamu kuwa wanaume wengi baada ya roundi ya kwanza ya tendo la ndoa hupata shida kuanzisha roundi ya pili na jambo hilo husumbua akili na moyo wa wanaume wengi sana. Wanawake wangefahamu hilo basi wanaume wasingeona kuwa ni tatizo kuchelewa kupata roundi ya pili.

Mahawara wameliona hilo na wanafanikiwa kuwaonyesha wanaume utofauti uliopo kati ya hawara na mke.

MAHAWARA HUWA NA SHUKRANI KWA SHANGWE ZAIDI  
Wanaume hupenda kujisikia kuwa wanafanikiwa katika kila jambo na mwanamke anapoonyesha shukrani zake kwa shangwe baada ya kufanyiwa jambo fulani huleta furaha kwa mwanaume. Hawara hutoa shukrani kwa kukumbukwa na kupigiwa simu au kutumiwa SMS na mengi kama hayo.Mambo hayo madogo madogo humfanya mwanaume ajione kuwa ni wa thamani na ni mtoshelezaji muhimu kwa mwanamke huyo.

MAHAWARA HUWEKEZA KATIKA MUONEKANO WAO
Kumvuta mtu ni rahisi lakini kudumisha hali ya mvuto ni kazi kubwa. Mahawara hujitahidi kuangalia uzito na unene wa miili yao, huvaa nguo ambazo hutibua  tamaa  ndani ya roho na mwili wa mwanaume. Ili kufanikisha hilo mahawara huwekeza katika kutafuta mavazi mazuri na ya kiwango. Huchagua mitindo mizuri ya nguo ili kudumisha mvuto Kwa mwanaume.

MAHAWARA HUPENDELEA KUCHEZEA UUME WA MWANAUME NA PIA WAO WENYEWE KUCHEZEWA UKE WAO
Mwanaume ni uume, na iwapo mwanamke atajitunza na kufaulu kutumia mbinu mbalimbali kuchezea uume kwa ustadi mkubwa basi huyo atakuwa na nafasi kubwa katika moyo wa mwanaume huyo.

Wanawake wengi hupuuzia na kutojali eneo hili na mara nyingi ninapoongea na wanawake najikuta nashangaa kwanini eneo hili linakuwa giza nene kwa wengi .Uume na korodani za mwanaume ni eneo muhimu katika kumridhisha mwanaume wakati wa tendo la ndoa na ni wajibu wa mwanamke kutafuta njia za kumsisimua mwanaume katika maeneo haya.

MAHAWARA HUKUBALI KUFANYA TENDO LA NDOA MARA NYINGI ZAIDI 
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu ni kweli mahawara hujua udhaifu wa wanaume upo katika tendo la ndoa hivyo huwa hawatoi visingizio vyovyote vya kukataa tendo la ndoa pale mwanaume anapohitaji.

Mahawara hufanya hivyo hata pale ambapo hawajisikii kufanya hivyo ili mradi tu wanaona mwanaume anafurahi uhusiano huo mara kwa mara.
Ili uweze kuona kazi waliyonayo hebu angalia mafundisho ya mtu mmoja ambae anafundisha mahawara. Yafuatayo ni masharti ya kuwa hawara

(1) UWE MSIRI
Kumbuka kwamba iwapo utasababisha mke wake ajue siri ya mume wake huyo mwanaume atakuchukia mara moja

(2) FANYA KAZI YA ZIADA KULIKO MKE WAKE
Wewe unaweza kuachika mke wake sio rahisi kwani wana watoto na hata wakiachana itawapasa wagawane mali zote. Kumbuka kuwa anachotafuta kwako ni starehe na faraja asahau maumivu mbalimbali, jitahidi umpe vitu adimu ambavyo havipati  toka kwa mke wake fanya muda muwapo pamoja kuwa vigumu kusahaulika kwake.


DALILI ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA



DALILI ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA

(1)       ANAKUTAZAMA MARA KWA MARA
Mara nyingi wanaume huanzisha hisia zao za kimapenzi kwa kutumia macho yao na hivyo uonapo mwanaume anakutazama mara kwa mara na macho yenu yanagongana anageuza kichwa ujue tayari ameanza kuona uthamani wako kama mpenzi.

(2)       ANAJIVUTA KARIBU NAWE
Uonapo mwanaume anatafuta kila sababu ya kutaka kuongea nawe mara kwa mara ni dalili ya kwamba anapenda uwe sehemu ya maisha yake.Simu za mkononi inaweza kuwa chombo muhimu sana katika eneo hili.

(3)       ANAKUFAGILIA SANA
Mwanaume anapokuwa ameona mwanamke ambaye anatamani awe mpenzi wake na mwishowe awe mke ataanza tabia ya kumsifia mwanamke huyo sio hilo tu bali pia atajitahidi kumtia moyo mwanamke huyo kumsogeza mahali ambapo mwanamke atajiona kuwa ni wa muhimu na anaestahili mema na mafanikio.Hivyo basi  kumfanya mwanamke huyo kuhusisha mafanikio yake na mtu ambaye amekuwa akimtia moyo na kumwona kuwa anaweza kushinda vikwazo vyovyote vile.

(4)       MTOA ZAWADI
Mwanaume anaekupenda atajitahidi kukutafutia zawadi nzuri wakati ambapo hakuna tukio lolote la kisherehe. Kwa kufanya hivyo anamuonyesha mwanamke kuwa yuko ndani ya moyo wake na ni wa muhimu kwake.

(5)       MNATOKA KWA KIWANGO KIKUBWA
Mwanaume anayependa mwanamke atajitahidi kumtoa mpenzi wake kwenda nae katika hoteli nzuri au maeneo ya starehe yenye hadhi kubwa. Mwanaume huyo hataangalia gharama za hayo yote na mwanamke aonyeshapo kuwa haoni umuhimu wa matumizi makubwa mwanaume huyo atapuuzia kabisa maneno yote. Mwanaume huyo ataonekana kutokujali muda mnaokuwa pamoja na hatakuwa na haraka ya kuondoka.

(6)       HASHOBOKI
Mwanaume ambae anakupenda atajitahidi sana asiwe anakodolea macho wanawake wengine (hashobokei wanawake wengine na hana time na vicheche). Asilimia kubwa ya wanaume wana udhaifu wa kukodolea macho wanawake wengine hata wakiwa na wapenzi wao. Lakini mwanaume anayemheshimu mpenzi wake atajitahidi sana kujizuia hali hiyo isiendelee au kuonekana awapo na mpenzi.

(7)       ANAKUPENDELEA
Mwanaume anapompenda mwanamke atajikuta kuwa anaanza kumpa kipaumbele mwanamke aliemchagua. Anaweza asiwe na pesa lakini akiona mpenzi wake anahitaji jambo fulani atafanya juu chini amtimizie haja yake. Mara nyingine hali hii ikiwa kubwa mwanaume huyu anaweza kusahau hata wazazi na ndugu zake. Mwanaume huyo atajikuta anaacha mambo yaliyokuwa muhimu kwake kuwa na mwanamke aliemchagua. Atakusaidia hata kabla hujaomba msaada kwake.

(8)       ANATAFUTA MIZIZI YAKO
Mwanaume anapompenda mwanamke na kutamani kuwa sehemu ya maisha yake ataonekana kupenda kujua mengi juu ya familia na ndugu za mwanamke aliemchagua. Mwanamke aonapo maswali ya aina hiyo yanarudiwa ajue kuwa mwanaume huyo anampenda na anatafuta uhakika wa ubora wa familia ya mke wake mtarajiwa.

(9)       ANAKUCHUNGA KWA FIMBO YA WIVU
Wivu sio kitu kibaya pale ambapo lengo lake ni kulinda kitu unachokithamini sio hilo tu bali pale uonapo wivu wake haukunyimi uhuru wako. Mwanamke aonapo mpenzi wake ameanza tabia ya kuuliza “Uko wapi”? “Utarudi home saa ngapi”? “Mbona nasikia kelele  uko wapi na unafanya nini huko”? Maswali yanayofanana na hayo yanaashiria kuwa moyoni mwake tayari amekufanya sehemu ya thamani ya maisha yake.

(10)   ANACHEKACHEKA OVYO
Uonapo mwanaume anacheka mara kwa mara awapo nawe tambua kuwa ameanza kukolea penzi. Mwanaume anapopenda anajikuta anafurahishwa na vitu vidogo vidogo asemavyo au afanyavyo mwanamke aliemchagua. Hali hii inaoneysha ni jinsi gani anamwona mwanamke huyo kuwa chanzo kizuri cha furaha maishani mwake.

(11)   ANAANZA KUKUNADI
Mwanaume aonapo kuwa sasa penzi lake kwa mwanamke aliempenda limekomaa ataanza kumtambulisha kwa marafiki zake na mbwembwe hizo zinaweza kuwagusa hata wazazi na ndugu zake wa karibu.

(12)   ANAPENDA KUKUGUSAGUSA
Mwanaume anapokuwa amependa atajikuta anataka kuimarisha mshikamano kati yake na mwanamke aliemchagua. Kwa kumshika mkono, kumkumbatia au kumvuta karibu yake wawapo kati ya watu wengi ni ishara ya kuonyesha kuwa sasa hataki mwanamke huyo atoke maishani mwake.Hilo ni tangazo la siri kwa wanaume wengine kusema vicheche chezeni mbali.

(13)   ATAKUIMBIA WIMBO UUPENDAO
Wanawake wengi wanapenda kusikia mwanaume akisema mara kwa mara kuwa anampenda. Kwa mwanaume aliyempenda kweli kweli atakuwa na urahisi wa kusema “Nakupenda mpenzi” mara kwa mara. Wimbo huu ni wa muhimu sana.N muhimu kuuchukulia kama ishara muhimu kwani Biblia inasema “Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi wake na wao waupendao watakula matunda yake. Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA (MITHALI 18:21-22).

(14)   ANAKUHANGAIKIA
Mwanaume apendaye mwanamke atajitahidi kuhangaika juu ya mahitaji ya mwanamke aliemchagua utaona anakuwa makini hata kwa mahitaji madogomadogo mnapokuwa mmeachana.Utakuta anamuuliza mwanamke iwapo anahitaji hiki au kile.

(15)   ANAJIRUDI KWA UPOLE
Katika mapenzi hali ya kutoelewana haiepukiki kabisa na mwanaume ambaye anampenda mwanamke aliemchagua atatambua umuhimu wa kuomba msamaha pale anapokosea. Hata ikitokea mkagombana haichukui muda mrefu kwa yeye kuanza kubembeleza ili kurudisha hali ya amani. Vile vile mwanaume huyo ataonyesha heshima kwa kuepuka lugha ya matusi au dharau ya aina yoyote ile. Hii ni moja kati ya dalili kubwa ya penzi lenye nguvu.

(16)   ANAJINADI KWA NDUGU ZAKO
Mwanaume mwenye nia ya kumfanya mwanamke awe sehemu ya maisha yake ataanza kufanya mambo ambayo ndugu na marafiki wa mwanamke watamwona kuwa ni mtu wa maana na mwenye thamani. Mwanaume huyo atafanya hayo kwani anajua kuwa furaha ya ndugu na marafiki zake itakuwa ni furaha ya mwanamke ampendae.

(17)   ANAFANYA BIDII KITANDANI
Asilimia kubwa ya wanaume wana matatizo ya nguvu za kiume na kuwahi kumaliza lakini pamoja na matatizo hayo mwanaume ambaye amempenda mwanamke aliemchagua atahangaika kutafuta njia mbalimbali za kuhakikisha kuwa mwanamke alie nae kitandani anaridhika kabisa. Hiki ni kipengele muhimu sana cha kuangalia kwani sayansi ya mapenzi imethibitisha kuwa asilimia kati ya 80 na 85 ndoa huingia katika migogoro kutokana na kukosekana utamu wa kutosha katika tendo la ndoa katika Biblia kitabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI inaonyeshwa kuwa ni wajibu wa mwanaume kumfurahisha mwanamke. “ mtu atwaapo mke mpya asiende vitani pamoja na jeshi, wala asipewe shughuli juu yake yoyote akae faragha mwaka mmoja nyumbani mwake apate mfurahisha mke aliyemtwaa (Kumbukumbu la Torati 24:5) kutokana na agizo hilo toka kwenye Biblia utaona kuwa mwanaume ambaye anashindwa kumfurahisha mwanamke katika eneo hilo anampa haki mke wake amdharau kama Biblia kwa mara nyingine tena inavyoonyesha”.
“Maji mengi hayawezi kuzimisha upendo wala mito haiwezi kuzimisha kama mwanaume angetoa badala ya upendo mali zote za nyumbani mwake. Angedharauliwa kabisa” (Wimbo uliobora 8:7).


ULAZIMA WA KUFANYA MABADILIKO KATIKA MAPENZI
Ukweli ni kwamba kila mtu angependa furaha ya mapenzi aliyoanza nayo iendelee kudumu lakini kwa wengi hiyo ni historia ya mbali na kwa wengine wanaona kuwa jambo hilo la kuendeleza furaha siku zote haliwezekani toka nianze kazi yangu ya ushauri na vipindi redioni nimekuwa nikikutana na kesi nyingi sana za kusikitisha na kuumiza moyo na sio hilo tu bali hata mimi mwenyewe nimekutana na changamoto kubwa ambazo zimenifanya niendelee kufanya utafiti zaidi kutafuta siri ya uhusiano wenye furaha ya kudumu.

Katika sura hii nitaonyesha mwanga niliouona na katika sura ifuatayo nitaonyesha moja kati ya njia kuu muhimu ya kudumisha furaha katika mahusiano ya kimapenzi. Ugunduzi huu ni wa kisayansi na naona kuwa ni moja kati ya ufunguo muhimu sana katika mahusiano ya kimapenzi mwanadamu ameumbwa aweze kuishi kwa furaha wakati wote jambo ambalo linaimarisha kinga ya mwili dhidi ya maradhi na kusababisha akili kufanya kazi vizuri zaidi. Ili kudumisha  furaha na amani mwanadamu ameumbwa na uwezo wa kurudia katika kiwango kile kile cha furaha alichokuwa nacho mwanzoni bila kujali kama mtu huyo amekutana na mambo mazuri au mabaya. Hali hii hutokea kwani mwanadamu hujikuta anayazoea mabadiliko yanayomkuta yawe mazuri au mabaya ili kudumisha kiwango kile kile cha furaha au amani. Hali hii kitaalamu huitwa HEDONIC ADAPTION na kuna mifano inayoweza kukuonyesha jinsi gani hata wewe mwenyewe umekumbana na hali hiyo.

(1)        Unanunua saa mpya ya ukutani na unaiweka nyumbani na mwanzoni unasikia mlio wa saa inapotembea lakini baada ya muda fulani unapokuwa umezoea mlio huo unajikuta huusikii kabisa.

(2)        Mtu ambaye anahamia kwenye nyumba uliopo kando ya barabara ambapo magari mengi hupita mwanzoni anasumbuliwa na kelele za magari lakini baada ya muda fulani anaizoea hali hiyo na kuwa na amani tele na wala hasumbuliwi na kelele za magari kama mwanzoni.





Monday, February 5, 2018

SIMU YA MPENZI

JE KUCHUNGUZA SIMU YA MPENZI WAKO NI SAHIHI AU UJINGA?

Penzi lilojaa furaha na lenye uwezo wa kudumu kwa muda mrefu kwa wengi ni kitendawili kigumu sana. Na kwa sehemu kubwa ugumu huo hutokana na ukosefu wa uwazi na ukweli.KUKOSEKANA kwa mazingira ya uwazi na ukweli  husababisha ubinafsi wa hali ya juu  ambao ukiachiliwa kuendelea hufikia kiwango cha ukatili tunouona katika usaliti na vifo vya mahusiano mengi.Kwa wenye magari ili gari lako liweze kudumu muda mrefu unaagizwa kuangalia kiwango cha maji na oil katika gari yako mara kwa mara na kushindwa  kutii agizo hilo gari lako halitaweza kudumu. Katika mahusiano ya kimapenzi kwa wale wenye malengo ya muda mrefu kuhakikisha kuwa mpenzi wako ni wako peke yako ni jambo la msingi katika ulimwengu huu wenye michepuko ya kila rangi. Tafiti nyingi zinaoonyesha kuwa mahusiano yenye uwazi wa kiwango cha juu yanakuwa na furaha zaidi na hudumu kwa muda mrefu sana ukilinganisha na mahusiano yenye mazingira ya usiri na ubinafsi.
Uwazi unasaidia kumfahamu mpenzi wako vizuri zaidi na hivyo kuwez kumsaidia katika maeneo yenye mapungufu au udhaifu kwa kuwa hakuna aliye makamilifu mara nyingi udhaifu usipogunduliwa mapema majanga hujitokeza. Kuna mambo mengi yanayochangia kufa kwa uhusiano na usaliti ni moja kati ya mambo makuu katika hayo. Ili kuweza kuepuka moja kati ya mambo yanayosababisha usaliti ni vyema kuangalia upya matumizi ya simu kwa uangalifu sana kwani  matumizi mabaya ya simu yamewaletea wengi majanga. Simu ni chombo kizuri ambacho kinaweza kuchangia katika kuboresha penzi na kulinda penzi. Kwa kuwa simu hutumika sana katika kuanzisha na kuendeleza usaliti upo umuhimu wa wapenzi kupeana uhuru wa kupekuliana simu zao bila hofu yoyote.Watu wengi wanapingana na hilo  jambo ambalo linathibitisha kuwa mahusiano mengi hayana amani ya kweli.KUMBUKA KUWA HUWEZI KUWA NA AMANI YA KWELI KAMA HUNA UHURU.Mfungwa hata awe kwenye gereza la dhahabu na kula chakula kwenye sahani za dhahabu ha hata akiende chooni na choo kikawa cha dhahabu kwakuwa hana uhuru hana raha kabisa.Kwanini uendelee kuwa katika uhusiano ambao hauna uhuru?Ni wakati wa kufurahia maisha sio kuishi kwa kuvumiliana,upo umuhimu wa kutumbua majipu ili furaha na maendeleo ya furaha yaonekane.
Moja kati ya dalili ya kwamba mpenzi wako ana mpango wa kukusaliti au tayari amekwisha anza usaliti ni kudai kuwa simu yake ni yake binafsi na  hakupi uhuru  wa kuipekua. Dalili ya pili ni ile mpenzi wako anaposhindwa kutoa maelezo yalionyooka juu ya mahali alipokuwa au alipo mbali na  masaa ya kazi.Dalili ya tatu ni kuwa na ukaribu wa kimaongezi na mtu wa jinsia tofauti na yake. Dalili ya nne kupunguza kiwango na wingi wa uchezaji awa ngoma ya wakubwa. Dalili ya tano ni hapendi kukaa na mpenzi wake kwa maongezi kwa muda mrefu na mawasiliano ya simu ni machache. Iwapo wewe humpi mpenzi wako sababu ya kuwa na wasiwasi na wewe katika maeneo  hayo huna saababu ya kuhofia pale mpenzi wako anavyopekua simu yako.
Tafiti iliofanywa na shirika la ulinzi kwenye mitandao ya internet inasema kuwa asilimia 46 ya wake kwa waume hupekua simu za wapenzi wao. Mtu huanza kupekua simu yako pale aonapo dalili kuwa penzi kati yenu limepungukiwa furaha na msimsimko uliokuwepo mwanzoni na mpenzi wako anapoanza kupekua simu yako anatafuta jibu ya hali hiyo mbaya.
Kwanini watu hupekua simu za wapenzi wao na kwa nini wengine hawataki wafanye hivyo?
Hebu angalia hili, iwapo wewe ni mmoja wapo wa wale wasiotaka kupekuliwa simu zao. Mpenzi wako akapekua simu yako na asikute lolote baya si atajiona mpumbavu? Je, na pia akiacha kupekua  simu yako  na baada ya miaka miwili anasikia umempa mimba mfanyakazi mwenzio pia si atajiona mjinga na mpumbavu? Atajiona mpumbavu kwa kuwa kama angekua anapekuwa simu yako mapema angegundua  mapema?HALI kama hiyo imemkuta dada mmoja  baada ya kugundua kuwa  mtu aliekuwa anaamini kuwa mume mtarajiwa tayari alikuwa na mke na hapo hapo alikuw ni mjmzito.INAUMA sana mtu kukupotezea muda wako na hukuwa na uwezo wa kugundua kuwa unadanganywa.SIMU INAKUPA UWEZO HUO.
Ukweli ni kwamba kutokana na udhaifu wa kibinadamu iwapo mtu ataachiwa kufanya kama anvyopenda upo uwezekano mkubwa wa kufanya mambo mabaya yatakayowaumiza wengine na ndio maana kuna polisi na mahakama. Ukitaka kupingana namimi kuwa upekuaji wa simu ya mpenzi wako sio kitu kizuri naomba uangalie yafuatayo. Je, hujawahi kusikia viongozi wakubwa wa serikali wamefanya mambo mabaya? Hujawahi kusikia viongozi wa dini wamefanya mambo mabaya? Je, watu ambao wanakamatwa na polisi na kupelekwa mahakamani wote ni vichaa au ni watu wenye heshima zao ukiwaona katika hali ya kawaida? Bila shaka hapo utapata ushahidi kuwa ipo haja kubwa ya kulinda uhusiano wa kimapenzi na kupekua simu ya mpenzi wako ni moja kati ya njia nzuri ya ulinzi huo .Tafiti zinaonyesha kuwa asilimi 60 ya wanandoa wameshawahi kusaliti na hiyo ni idadi kubwa na maumivu kwa yule asie na hatia ni makubwa sana. Hata kama hakuna dalili za usaliti, kumpa uhuru mpenzi wako kupekuka simu yako ili ajiridhishe ni jambo la muhimu kwani inakusaidia wewe uanepekuliwa kuongeza bidii kuendelea kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako na kupiga vita vishawishi vyote vinavyotokeza. Kutokana na ukweli huo ni vyema mfanye kupekuliana simu kama mchezo uletao burudani kati yenu badala ya hasira.
Mkiweza kueleweshana juu ya mchezo huo na kupeana kanuni za mchezo huo kupekuliana simu hakuwezi kuwa tishio kabisa. Iwapo utafanya jitihada za kuonyesha penzi motomoto kwa mpenzi wako utampunguzia mpenzi wako haja ya yeye kupekuwa simu yako. Usimseme vibaya mpenzi wako kwa kupenda kupekua simu yako mara kwa mara mthibitishie kuwa unampenda na huwezi kumsaliti kwa kumpa uhuru wa yeye kupekuwa simu yako.Huoni kuwa hiyo ni njia rahisi ya kumthibitishia uaminifu wako Yule umpendae?NDIO  unaweza klusema kuwa atakuwa anafuta meseji zake, sawa hilo lipo lakini  iko siku atajisahau na atatumbukia mtegoni.
 Iwapo unajitahidi kuondoa sababu zote ambazo zinamfanya mpenzi wako awe na wasiwasi utaleta amani na furaha kati yenu badala ya migogoro. Unajua nini? Hata kama mpenzi wako atakuta mambo ambayo wewe unayaona ya utani wa kawaida lakini kwake yakawa yanamletea wasiwasi ichukulie hiyo kama fursa yakuelewa udhaifu na uelewa wa mpenzi wako na niwajibu wako wewe kumsaidia mpenzi wako katika hayo bila ya kuonyesha dharau yoyote au ukali wowote ule. Hata kama utakuwa umefuta meseji zote zile ambazo unaziona kuwa zina uwezo wa kuleta hali ya kutoelewana lakini pale unapompa mpenzi wako uhuru wa kupekuwa ile hofu ya kwamba huenda kuna meseji ulisahau kuifuta  itakusaidia wewe kuona jinsi gani usaliti ni wa hatari katika uhusiano wenu iwapo kweli unampenda mtu ulie nae. Iwapo kweli unampenda mtu ulie nae hakuna gharama ilio kubwa itakayokushinda kuitoa kwa ajili yake. Iwapo humpendi  mpenzi wako huwezi kuona hatari ya kumuumiza au kumpoteza mpenzi wako lakini iwapo unampenda utajiona kuwa unao wajibu mkubwa sana wa kuhakikisha kuwa mpenzi wako ana amani na wewe wakati wote.
Hebu fikiria, je kuna njia gani rahisi ya kumkamata mpenzi wako anapokuwa amechepuka na kuwa na mtu mwingine kimaapenzi zaidi ya simu? Kama hiyo ni njia rahisi kwa nini isitumike kulinda penzi mnalolithamini?Mtu anaekataa kutumia simu kama njia ya kulinda na kutunza penzi hana mapenzi ya kweli.
Wengi hutumia kisingizio kuwa kupekuwa simu ya mpenzi wako ni sawa na kuingilia uhuru wa taifa jingine, sio kweli kabisa kwani iwapo naweza kuzishika sehemu zako za siri  kwa uhuru wote ni sahihi kabisa kwa mimi kuwa na haki ya kujua siri zako zote zilizomo kwenye simu yako. Kinyume na hapo ni kudaganyana kabisa. Unajua nini? Kwa sababu yoyote ili mpenzi wako anapoanza kuwa na wasiwasi na wewe ni wajibu wako wewe unaedai kuwa unampenda kumsaidia kuondoa wasiwasi huo.Wasiwasi wake hauwezi kuondoka wenyewe bila ya wewe kumsaidia. Na kama huwezi kumsaidia katika hilo ni dhahiri  kuwa humpendi hata kama unampa mamilioni ya pesa kila siku. Kwa watu ambao hawajawahi kusalitiwa hawawezi kuona ukubwa wa wasiwasi  wa kuwepo kwa uwezekano wa kujeruhiwa  kama wale ambao ambao walikwasha salitiwa huko nyuma.Watu ambao wameshawi kuumizwa na usaliti au kuona marafiki zao wa karibu wameumizwa wanakuwa na wasiwasi mkubwa sana na ni wajibu wa wapenzi wao kuelewa chimbuko la wasiwasi huo.
Watu wengine wanajifariji kwa kusema kuwa sitaki kupekua simu ya mpenzi wangu kwani inaweza kuniumiza vibaya na hivyo kuepuka maumivu wanaogopa kushika simu za wapenzi wao. Huo ni umpumbavu kwani ni sawa na kusema kuwa “Nakuruhusu unisaliti lakini sitaki kujua kama unaisaliti”.
Unaposema hivyo na kukubaliana na hilo moja kwa moja unapoteza haki ya kuuliza maswali pale mpenzi wako anapokuwa amechelewa kurudi nyumbani, huna haki ya kuuliza swali lolote pale simu yako isipopokelewa au unapokuta simu ya mpenzi wako imezimwa . Je hapo kuna  mazingira ya furaha katika uhusiano huo? Haiwezekani kuwa na furaha kwa kuwa unayo maswali halali lakini ukiuliza mwenzio nakuwa mkali na kutoa maneno mabaya. Usishangae kuona hali kama hiyo kwani kwa wewe kuogopa kusisitiza uwazi kati yenu mpenzi wako ameingia kwenye mahusiano mengine ambayo anayathamini zaidi ya wewe.
 Hivi karibuni dada mmoja mzuri mwenye kazi nzuri alinisikitisha kwa kuniambia kuwa anatembea na mume wa mtu ambae anataka ampeleke akamtambulishe nyumbani kwao. Dada huyo  anadai kuwa mume wa mtu anampenda kwa kuwa anaweza kukaa kwake hadi saa nane za usiku na umuulizapo kuwa mbona muda umekwenda sana mkeo hatakushambulia. Dume hilo linamjibu kwa kumwambia “wewe nione kama vile sina mke na wewe ndio mke wangu “ Dada huyo mwenye elimu nzuri ameamini maneno hayo bila kutambua kuwa mwanaume huyo anamuonyesha ni jinsi gani alivyo mkatili na sio kuwa ana upendo mwingi.Kama anaweza kukaa na mwanamke mwingine hadi saa 8  za usiku bila kujali maumivu ya mkewe anafikiria ukatili huo hautafika kwake yeye? Usidanganyike sisitiza penzi la kweli na lenye uwazi mkubwa.
 Hebu fikiria, lipi bora, kugundua kuwa mpenzi wako anakusaliti au kugundua kuwa amekuambukiza UKIMWI? Kama ungejua kuwa kupekua simu ya mpenzi wako kungekuepusha na ugonjwa wa UKIMWI usingefanya hivyo kwa bidii zaidi? Lipi bora, upekuwe simu ya mke wako na ugundue kuwa ni msaliti au uje ugundue kuwa mtoto ulieamini kuwa wewe ndie ulisababisha ujauzito sio mototo wako bali ni wa mwanaume mwingine ( mkemia mkuu wa serikali anasema zaidi ya asilimia 40 ya watoto wanawaita baba watu ambao sio baba zao).

Simu ni kama moto, moto ukiutumia vizuri utachangia katika kufanya maisha yako yawe matamu zaidi lakini ukiutumia vibaya unaweza kuleta majanga. Kwa hiyo basi kwa kadri tunavyokuwa waangalifu katika matumizi ya moto lazima tuwe waangalifu katika matumizi ya simu. Hebu jiulize maswali yafuatayo.

1.     Je, kuna mambo ambayo hupendi mpenzi wako ayakute kwenye simu yako? Kwanini hutaki ayaone?

2.     Je, unapokuwa mbali na simu yako na ukawepo uwezekano wa mpenzi wako kusoma yaliyomo kwenye simu, je unakuwa na wasiwasi kuwa huenda mtu mwingine anaweza kutumia ujumbe mfupi utakao fichua uovu wako?

3.     Je, umeshawahi kufuta meseji kwenye simu yako kwa kuogopa kugunduliwa na mpenzi wako?

4.     Je, umeshawahi kutumiwa picha ambazo unadhani zitamkasirisha mpenzi wako.

5.     Je, una mawasiliano na mtu mwingine ambae usingependa mpenzi wako ajue juu ya mawasiliano hayo?
Iwapo moja kati ya maswali hayo kwako umejibu “NDIYO” ni wakati wa kuangalia upya iwapo kweli unampenda mpenzi wako kwa moyo wote au la.Na kama unaona umemnyima uhuru anaohitaji kweli unampenda au unamytumia tu?
Utakuwa unamtesa mpenzi wako kwa kumkataza asishike simu yako kwani hata wewe mwenyewe unajua kuwa sio kitu rahisi kuishi katika hali ya wasiwasi.Ni wajibu wako kutengeneza mazingira ambayo yatamletea amani mpenzi wako  kwa kumpa uhuru wa kushika simu yako.
Hebu fikiria, mpenzi wako yuko bafuni na ameacha simu kitandani na mara unasikia meseji zinaingia mfululizo,kwa hali ya uanadamu unapatwa na hamu ya kutaka kujua kuna nani anayetuma meseji hizo. Dada mmoja aliamua kufanya utafiti miongoni mwa marafiki zake kwenye facebook na kuona kuwa wengi wanaliona hilo kuwa jambo baya lakini wengi wao wanasema bado wanajikuta wnachungulia kuona kuna nini kwenye simu za wapenzi wao bila ya kupewa ruhusa ya kufanya hivyo.Kwanini watu ambao wanasema sio vizuri kupekua simu za wapenzi wao wanajikuta wanashindwa kujizuia na kupekua simu hizo pale wanapoamini kuwa wapenzi wao hawawezi kugundua?WATU  HAO HUFANYA HIVYO KWNI NI HALI YA UANADAMU WETU KUTAFUTA  UHAKIKA WA MAMBO ili kuwa na amani.
Pale unapopewa uhuru wa kupekua simu ya mpenzi wako lazima uwe na uhakika kuwa unao uwezo wa kukabiliana na madudu ambayo unaweza kuyakuta yamezaliana kwenye simu ya mpenzi wako. Na usishangae utakapoonyesha kuwa umaumia kukuta madudu yenye sura zinazotisha na hapo hapo ukasikia mpenzi wako akisema “shauri yako umeyataka mwenyewe, usingepekuwa simu yangu hayo yote yasingekukuta na hata pole sikupi”.
Watu wengine wanaopigia debe haki ya kuheshimu uhuru wa mpenzi wako wanasema kuwa iwapo una wasiwasi na mpenzi wako badala ya kupekua simu yake mueleze juu ya wasiwasi huo. Ukweli ni kwamba unapomuuliza mpenzi wako upo uwezekano mkubwa wa kudanganywa kwa maneno na ni rahisi kupata ukweli kwa kupekua simu.
Pamoja na yote niliongea katika mada hii napenda nitoe thadhari. Uanzapo kuwa na uhuru wa kupekuwa simu utajikuta umekuwa aina fulani ya mlevi na huwezi kutulia mpaka umepekua simu yake jambo ambalo kwa mtu ambae sie muelewa anaweza kukuona kuwa ni mtu unaeboa na huna jambo jipya la kusisimua. Unapokuwa mlevi wa kupekua simu ya mpenzi wako utajikuta huna raha mpaka utakapomaliza kupekuwa jambo ambalo lina uwezo wa kupunguza uwezo wako wa kuonyesha mapenzi ambayo yatakufanya umpende zaidi.  Katika mazingira kama hayo utakuta unaharibu uhusiano badala ya kujenga. Dada mmoja alijikuta amekuwa mlevi wa kupekuwa simu za mpenzi wake na akaona hiyo haikutosha akaanza pia kupekua simu ya baba ya mzazi.Ni  jambo jema lakini lazima uwe na hekima  usije ukabomoa penzi  lenu.

Pamoja na hayo yote utajikuta unakosa raha kila unaposikia mlio wa meseji inayoingia katika simu ya mpenzi wako na hapo hapo unajikuta unatamani uikwapue simu yake uwe wa kwanza kuisoma meseji hiyo jambo ambalo litkufanya uwe huna raha mara kwa mara na hivyo kumboa mpenzi wako.
Kusema kwamba unapaswa kumuamini mpenzi wako na uache kupekuwa simu yake sio sahihi. Ili uweze kumuamini mtu lazima akupe ushahidi wa kutosha kuwa anastahili kuaminiwa. Kama kweli mpenzi wako anakupenda atakupa uhuru wa kupekua simu yake na pale unapoona  hukuti jambo lolote baya wewe mwenyewe utaona aibu na utalazimika kuacha labda pale ambapo kiwango cha penzi kimepungua sana kati yenu  na hujui sababu ya hali hiyo.
Pale uonapo mpenzi wako ana tabia ya kupekua simu yako jitahidi kuwa muelewa badala ya kuchukia. Iwapo huko nyuma aliamini mtu na mtu huyo alimsaliti anayo haki ya kujilinda asiumie tena. Wala sio hilo tu huenda rafiki yake wa karibu alishawahi kusalitiwa na mwanaume mwingine  baada ya kukuta meseji inayomsema vibaya kwa mtu mwingine.na akaumia sana. Hebu fikiria uwe na rafiki wako wa karibu sana akuletee mkasa uliomkuta baada ya kupekuwa simu ya mpenzi wake. Hebu sikia maneno kama haya “John usiamini wanawake bwana, unaweza kuamini kuwa awitness alikukwa anatembea na wanaume wawili kwa mpigo? Jumapili ametoka kwangu saa 8 mchana anasema anaenda discussion na wanafunzi wenzake na kesho yake nakuta meseji ya jana inayosema alienda NORTH HOTEL na mwanaume mwingine. Nilimwona  WITNESS mtu mpole sana na anaejiheshimu na nikamuamini sana lakini bada ya kusoma meseji hiyo niliumia sana na sijui kama nitaweza kumuamini mwanamke mwingine tena” itakuwa mbaya zaidi iwapo rafiki yako huyo atakusimulia mkasa huo huku akitoa machozi mengi na akakupa kazi ya kumfariji.
NDUGU yangu, jitahidi kutumia simu yako kumletea mpenzi wako furaha na sio wasiwasi.KWA kadri utakavudhamiria kutumia simu yako kujenga na kupamba penzi kwa kumpiga mpenzi wako, kutuma mesejei tamu za kimahaba   itakuwa vigumu kwako kufanya hayo kwa mtu mwingine tofauti .Wakati umefika wa wewe na mpezi wako kufanya bidii za makusudi kuongezea kiwango cha furaha na msisimko kati yenu kwa kutumia simu za mkononi.
Kabla ya kumaliza naomba nikusomee maneno ya dada mmoja yanayothibitisha umuhimu wa kupekuwa simu ya mpenzi wako.
“Nimejikuta kuwa nashindwa kuacha kupekua simu ya mpenzi wangu baada ya mwanaume wa kwanza maishani mwangu kunisaliti. Niligundua kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na wasichana wawili tofauti, wakati tayari alikuwa amekwisha nitolea mahari. Natamani ningesema kuwa najuta kupekua simu yake lakini sijui hata kidogo. Sijuti kwa kuwa kama isingekuwa kwa kufanya hivyo ningeendelea kuamini kuwa mwaminifu kumbe yeye ananiona bwege kwa muda mrefu sana. Niliumia sana lakini nilijifunza somo moja muhimu sana . Kupekua simu ndio njia pekee ya kupata uhakika na majibu sahihi muda wangu ni wa muhimu sna na sitaki mwanume yeyote anipotezee muda wangu”.